Hawajui wanachokifanya, mizigo imekaa miezi mitatu na bado sijapata, ukiwauliza hawajui lini inatoka. Hawako serious na mizigo ya watu, kama wewe ni mfanya biashara sikushauri kutumia hii kampuni itakupa hasara nyingi! Bora utumie nyingine.
Information
1Comments
5Rating
Address:LIVING STONE & NALUNGOMBE ST SHABU TOWER, Dar es Salaam, Tanzania