Price Tanzania
Best in Town thank you guys
Thank you guys nimefanikiwa kupata mzigo wangu lakini bei ilikuwa imechangamka kidogo. Ila nimefurahia Asanteni sana.
Its fair, nimependa nilivyopata kwa haraka. Naomba muongeze laptop zaidi hasa za zamani kidogo, ni ngumu kupata laptop nzuri sahamu sahahi kama kwenu.